BETI NASI UTAJIRIKE

JONAS MKUDE AFANYA JAMBO JINGINE NDANI YA SIMBA

Kwa wale wasiofahamu, kiungo Jonas Gerrard Mkude alijiunga na Simba mwaka 2010 kisha akapandishwa timu ya wakubwa 2011.Mwaka huu amefikisha miaka 10 akiwa na klabu ya Simba


Kwa Sasa ndiye mchezaji pekee aliecheza miaka mingi kwa wachezaji wa sasa Simba
Na msimu huu huenda ukawa bora zaidi kwake, kwani anaonyesha kiwango cha juu huku akidhihirisha uwezo wake wa kufunga kwa msimu huu tayari ametupia mabao mawili. Hizi ni picha mbalimbali za mkude akiwa na jezi ya Simba.





Post a Comment

0 Comments