Ligi mbalimbali ziliendelea hapo jana jumapili na tumeshuhudia matokeo ya kushangaza ns kufurahisha baadhi ya mashabiki. Mchezo uliokuwa unasubiliwa kwa hamu ni ule wa Manchester United Vs Liverpool
Mchezo huo ulimalizika kwa Liverpool kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 huku Manchester United wakipata wakati mgumu tagu mwanzo mpaka mwisho wa mchezo. Liverpool wanaendelea kukaa kileleni kwa pointi 16 zaidi ya Manchester City . Haya hapa ni matokeo mengine ya mechi zilizopigwa hapo jana
0 Comments