Wadau wana kila sababu ya kuilalamikia TFF kuwa imekuwa ikiendeshwa kishabiki zaidi
Mwanzoni mwa msimu kulitungwa kanuni ya udhibiti wa mavazi kwa makocha na viongozi wa benchi la ufundi kwa vilabu vya ligi kuu
Mtu pekee aliyeadhibiwa kwa kuvaa 'pensi' ni aliyekuwa kocha mkuu wa Yanga wakati huo Mwinyi Zahera.Lakini kanuni hiyo haikutumika kwa mwingine yeyote licha ya wengine kuendelea kutumia mavazi hayo
Juzi kocha wa Simba alitupia pensi na hakuna tamko lolote lililotolewa TFF wala bodi ya ligi
Jamani hata kama kusoma hatujui picha tunaona, ile kanuni mlimtungia Zahera FULL STOP
0 Comments