BETI NASI UTAJIRIKE

MOLINGA NA MORRISON WAJIPANGA KUICHAKAZA PRISONS LEO

Kikosi cha Yanga kimekamilisha maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo wa raundi ya nne kombe la FA (ASFC) dhidi ya Tanzania Prisons.Mchezo huo utapigwa leo Jumapili kwenye uwanja wa Taifa.



Yanga wanautaka kwa mchezo huo dhidi ya Prisons bada ya kurejea kwenye kwenye morali ya ushindi baada ya kuifunga Singida United mabao 3-1 huku pia winga mpya Morisson akigeuka gumzo klabuni hapo. hizi ni baadhi ya picha za mazoezi ya Yanga waliyofanya hapo jana 

Post a Comment

0 Comments