BETI NASI UTAJIRIKE

HII HAPA RATIBA NZIMA YA KOMBE LA SHIRIKISHO ASFC

Michezo ya raundi ya nne ya michuano ya kombe la Azam (ASFC) inaanza kupigwa leo Jumanne kwenye viwanja mbalimbali.Mchezo kati ya Yanga dhidi ya Tanzania Prisons utapigwa Jumapili


Januari 26 2020 katika uwanja wa Uhuru ni baada ya Yanga kumaliza mchezo wa ligi dhidi ya Singida United ambao utapigwa uwanja wa Namfua kesho 

Post a Comment

0 Comments