BETI NASI UTAJIRIKE

YANGA WAELEZA HATMA YA DAVID MOLINGA FALCAO

Mshambuliaji mahili wa klabu ya Yanga Mcongomani David Molinga amerejesha Yanga na uongozi wa klabu ya Yanga. Maamuzi ya kumrejesha mshambuliaji huyo yameafikiwa na
 jopo la uongozi baada ya wachezaji waliosajiliwa klabuni hapo kushindwa kuonyesha uwezo wao akiwemo Straika wa Yanga Ditram Nchimbi aliyesajiliwa kutoka Polisi Tanzania.

 Ikumbukwe Molinga aliachwa na klabu hiyo baada ya kufunga mabao 5 tu katika mechi 11 alizocheza sawa na kucheza mechi 2 na kufunga mechi 1 huku pia aituhumiwa kwa utovu wa nidhamu uliozungumzwa na Afisa habari wa Yanga  Hassan Bumbuli aliyemtaja Molinga miongoni mwa wachezaji sita walioachwa

Hata hivyo nyota huyo amerejea na jioni  ya jana ameshiriki mazoezi.Imefahamika kuwa Yanga imemrejesha Molinga baada ya kuachana na mpango wa kumsajili Owe Bonyanga nae kutoka DR Congo

Post a Comment

0 Comments