BETI NASI UTAJIRIKE

ALICHOKIFANYA JAMES KOTEI KWA AJILI YA SIMBA CHAIBUA GUMZO

Klabu ya Kaizer Chiefs imefikia makubaliano na kiungo James Kotei kuvunja mkataba wake wa miaka mitatu aliosaini mwezi Julai 2019.Kotei alijiunga na Chiefs akitokea klabu ya Simba baada ya mkataba wake kumalizika


Awali Chiefs ilitaka kumtoa Kotei kwa mkopo kwenda klabu ya Yanga lakini mwenyewe alikataa akisisitiza timu pekee inayoweza kumrudisha Tanzania ni klabu ya Simba aliyoitumikia kwa mafanikio makubwa.

Nyota huyo amesema tayari ana ofa mbili mkononi lakini hakuwa tayari kuweka hadharani timu zinazomuwania

Post a Comment

0 Comments