BETI NASI UTAJIRIKE

YANGA WASHUSHA BONGE LA KIUNGO

Yakiwa yamebaki masaa kadha kufungwa kwa dirisha dogo la Usajili klabu ya Yanga imekamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji Bernard Morrison kutoka nchini Ghana Morisson anakuwa usajili wa kwanza wa kocha Luc Eymael 


Nyota huyo amewahi kuzitumikia DC Motema Pembe DRC (2018), Orlando Pirates (2016-2018), AS Vita DRC (2015-2016), Ashanti Gold FC Ghana (2013-2015) na Hearts of Lions (2010-2013)

Post a Comment

0 Comments