Mwekezaji na mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi Simba Mohammed Dewji amefanya kufuru nyingine tena ndani ya Simba na sasa ameamua kuijenga upya klabu hiyo
Hapo jana mkurugenzi huyo mkuu wa makampuni ya METL alitembelewa ofisini kwake na balozi wa Sweden nchini bwana Andres Sjoberg. kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii mo aliichapisha picha na kuandika
Limekuwa jambo zuri kukutana na Balozi wa Sweden Andres Sjöberg kujadili ushirikiano na 🇸🇪 katika maendeleo ya soka la vijana nchini 🇹🇿. Amejitolea kuleta makocha mashuhuri kutusaidia kuanza mpango huu & kuzindua kituo cha kukuza soka la vijana cha Simba ndani ya mwaka huu 2020!
//
It was a pleasure meeting Honorable Ambassador of Sweden Mr. Andres Sjöberg to discuss a partnership with Sweden 🇸🇪 for the development of youth football in Tanzania 🇹🇿. He has committed to deploy a reputable coach to help us kick-start this program & launch the Simba Football Academy in 2020! #NguvuMoja 🦁
0 Comments