BETI NASI UTAJIRIKE

BAADA YA KUPEWA ZA USO DEWJI AJISAFISHA KWA WANASIMBA

Mwekezaji wa Klabu ya Simba amejikuta akipata wakati mgumu baada ya jana usiku kutangaza kuwa amejiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa  bodi ya wakurugenzi kufuatia kufanya vibaya kwa klabu hiyo kwenye mchezo wa fainali dhid ya Mtibwa Sugar. 


Kupitia akaunti yake ya mitandao ya kijamii Dewji ameonekana kujutia kosa hilo huku baadhi ya wadau wakihoji zilipo zile bilioni 20 alizowekeza na wengine kusema kama anataka kushinda kila mechi aanzishe kombe lake litakaloshirikisha Simba queens,Simba B na Simba SC huku wengine wakisema Kama Bahresa angekuwa Dewji basi Azam FC ingeshakuwa imekufa kama alivyofanya kwa African Lyon.

Dewji aliuondoa ujumbe wa hapo jana usiku na kuweka ujumbe mwingine 

Post a Comment

0 Comments