BETI NASI UTAJIRIKE

YANGA MJIANDAE KWANI BOCCO ATAANZA NA NYINYI

Mshambuliaji makini zaidi kwa Taifa Stars na Simba John Bocco anategemewa kurejea uwanjani mwezi Januari akiwa fti kwa asilimia 100. Bocco alikosekana michezo kadhaa ya 


ligi kuu Tanzania bara kutokana na majeruhi ya mguu na alitegemewa kurejea mapema lakini ilishiindikana kwani jeraha lake lilikuwa kubwa

Hivi karibuni  mchezaji huyo alipelekwa nchini Afrika Kusii kwa ajili ya uchunguzi zaidi na iligundulika anajeraha litakalomweka nje ya uwanja kwa mwezi mwingine mmoja .Ingawa nyota huyo ameanza mazoezi mepesi ila hatacheza mchezo wowote kw mwezi Disemba mpaka  Januari atakapowakabili Yanga kwenye mchezo wa Raundi ya Kwanza ya igi kuu Tanzania Bara 

Post a Comment

0 Comments