BETI NASI UTAJIRIKE

HII NDIYO ZAWADI MAALUMU YA YANGA KWA MASHABIKI WAKE NCHI NZIMA

Klabu ya Yanga imejipanga kuendeleza ile kampeni yake ya kujitangaza kwa kutembelea ikoa mbalimbali kwenye kupindi hiki cha mapumziko ya ligi kuu Tanzania Bara.


Mashabiki wa Yanga wa nje ya jiji la Dar es Salaam wamekuwa na shauku ya kuiona timu yao kwani kwa baadhi ya mikoa anapata nafasi hiyo mara moja huku mikoa mingine ambayo haiina timu zinazoshiriki ligi kuu wakiishia kuwaona kupitia runinga. Yanga imejipanga kuwapa zawadi ya kuwatembelea mashabiki wake nchi nzima  

Yanga itafanya ziara mikoani kucheza mechi za kirafiki ambazo zitakuwa sehemu ya maandalizi y mchezo wa kombe la FA dhidi ya Iringa United na ule wa watani zao wa jadi Simba

Afisa Mhamasishajii wa Yanga Antonio Nugaz amesema baada ya wachezaji kurejea kutoka mapumziko,wataweka hadharani ratiba ya maandalizi 

Baada ya mchezo dhidi ya KMC wachezaji walipewa mapumziko ya siku mbili  na wanatarajiwa kurejea kikosini Alhamisi 

wakazi wa mikoa ambayo haina timu zinazoshiriki ligi kuu kama Dodoma,Rukwa ma kwingineo huenda  wakapata nafasi ya kutembelewa na timu hiyo.

Post a Comment

0 Comments