BETI NASI UTAJIRIKE

UJUMBE WA MANARA ALIPOKUWA ANAMTAMBULISHA KOCHA MPYA WA SIMBA

Klabu ya Simba imepata rasmi kocha mpya ajulikanae kwa jina la SvenVanderBroeck 
akichukua nafasi iliyoachwa wazi na mbeligiji mwenzake Patrick Aussems.


Kocha huyo amewahi kuzifundisha timu za Zambia na Cameroon iliyotwaa taji la AFCON mwaka 2017. Kocha huyo amekwisha malizana na klabu ya Simba na kuanzia leo anatakiwa awepo mazoezini kwa ajili ya maandallizi ya mechi ya watani wa jadi. 

Msemaji wa Simba Bw.Haji Manara hakuwa nyuma kuhakikisha kocha huyo anapata utambulisho rasmi mbele ya mashabiki wa Simba. Manara alitumia kurasazake za kiamii kumtambulisha rasmi kocha huyo kwa kuandika 

 "Huyu ni Kocha kijana mwenye malengo yanayofanana na malengo ya klabu yetu.
Huyu ameshashinda Ubingwa wa Afcon akiwa Assistant Coach wa Cameroon na ameshafundisha wachezaji Wakubwa, pia keshakuwa head coach wa Zambia.na alikuwepo kitwe mwaka jana tulipocheza na Nkana, anayajua malengo yetu na nn tunakitaka.Inshaallah Ijumaa ataongea na Wanahabari kuelezea mipango na matarajio yake kwa Machampioni wa taifa hili.ni Sven VanderBroeck"

Post a Comment

0 Comments