BETI NASI UTAJIRIKE

SIMBA WAAHIRISHA UZINDUZI RASMI WA VIWANJA VYA BUNJU,BAKULI LATAJWA

Uongozi wa klabu ya Simba umesema kesho Jumamosi Disemba 7 litafanyika tukio a kuwaonyesha wanachama na mashabiki ujenzi wa viwanja vya klabu hiyo vilivyopo nje 

kidogo ya jiji la Dar es Salaam maarufu kama Bunju Complex.Mkurugenzi wa wanachama na mashabiki wa Simba Hashim Mbaga amesema siu hiyo ataitumia kuwaoyesha masahbiki wa Simba viwanja hivyo ambapo kila mmoja atapata fuls ya kuona maendeleo ya Simba.

"Hatuendi kufanya uzinduzi ,tutakwenda kutembelea kwa maana tutakwenda kuwaonyesha wenye uwanja wao ,Wanasimba wote eneo lao jinsi lilivyo kwa sasa hivi

"Tunatarajia ujenzi ukishakamilika timu itaanza kufanya mazoezi ya majaribio kwenye uwanja kabla ya uzinduzi rasmi mwakani

"Uzinduzi tutaufanya mwakani kwa sababu tunataka tufanye kitukikubwa.kwamba baada ya wanachama wote kuuona uwanja wao ,tunapokuja kwenye uzinduzi tunaanza rasmi kuchangia awamu ya pili kila mmoja "

Post a Comment

0 Comments