BETI NASI UTAJIRIKE

RATIBA NZIMA YA KILIMANJARO STARS CECAFA

Timu ya Taifa "Kilimanjaro Stars" Imeendelea na mazoezi makali kujiandaa na michezo ya kombe la CECAFA 2019 itakayofanyika nchini Uganda kuanzia tarehe 8 Disemba 2019


Makundi ya Michuano hiyo yalitangazwa huku Kilimanjaro Stars ikipangwa kundi moja na Zanzibar Heroes,Kenya pamoja na Sudan Kusini. Jana Ratib kamili ilitolewa na kuonyesha Kilimanjaro itakavyocheza. Hii hapa ratiba kamili ya michuano hiyo.

Kikosi cha kilimanjaro Stars kinategemewa kuondoka na kuwasili nchini Uganda hii leo huku ikianza mchezo wake wa kwanza dhidi ya Kenya.

Amo Media Group kupitia website yetu na televisheni ya mtandaoni (Amospoti.com & amospoti tv) tunawatakia kila la heri Kilimanjaro Stars na Zanzibar Heroes.

Post a Comment

0 Comments