BETI NASI UTAJIRIKE

PICHA :MAELFU WAFURIKA KUIPOKEA YANGA IKIWASILI KIGOMA

Klabu ya Yanga imefanikiwa kuanza tua yake mikoa bali mbali na hapo jana ilifanikiwa kuwasili mkoani Kigoma kwa ajili ya michezo mbalimbali ya kirafiki na kufungua matawi. 


Mara baada ya kuwasili klabu hiyo ilipokelewa maelfu ya mashabiki waliowaandalia keki maalumu huku kocha mkuu Charles Boniface Mkwasa akiibuka ndiye Mfalme wa tukio hilo.


Post a Comment

0 Comments