BETI NASI UTAJIRIKE

NJAA YAZIDI KUITIKISA YANGA,MCHEZAJI MWINGINE AVUNJA MKATABA

Klabu ya Yanga imejikuta ikipata wakati mgumu zaidi msimu huu baada ya kushindwa kuwalipa wachezaji wake mishahara ya miezi miwili na madeni ya kurithi zaidi ya bilioni 2Baada ya Mchezaji Sadney kujitoa klabuni hapo mchezaji Juma Balinya  amefikia makubaliano ya kuondoka klabuni hapo akirejea nchini kwao Uganda. Klabu ya Yanga imetangaza kuachana rasmi na mchezaji huyo aliyesajiliwa mwanzoni mwa msimu huu. 

Post a Comment

0 Comments