BETI NASI UTAJIRIKE

MECHI 5 BORA ZA KUTOKOSA LIGI YA MABINGWA ULAYA HATUA YA MTOANO

Shirikisho la Soka barani Ulaya limefanya droo ya timu zilizofuzu na zitakazochezwa hatua hatua ya 16 bora michuano ya ligi ya mabingwa ulaya kwa msimu wa 2019/20 Shughuli hiyo imfanyika leo mchana na baadhi ya mechi zimeshaanza kuwa gumzo. Mechi hizo ni ile ati ya Real Madrid vs Manchester City ,Borrusia Dortmund vs PSG,Atletico Madrid vs Liverpool,Chelsea vs Bayern Munich na Napoli vs Barcelona. hii hapa ratiba nzima ya michuano.

Post a Comment

0 Comments