Kilichofurahisha zaidi ni timu zote kubwa kufuzu hatua ya 16 na kuongeza radha nnzuri kwa wapenzi wa soka la ulaya huku mechi za mtoano ikipangwa kufanyika siku ya kesho. haya hapa matokeo ya mechi zilizopigwa jana.
Hizi ndizo timu 16 bora zilizofanya vizuri kweye hatua ya Makundi na kuingia hatua ya mtoano itakayofanyika mwezi februari 2020. kwa mtazamo wako unazipa nafasi timu gani kufuzu hatua ya robo fainali.
0 Comments