BETI NASI UTAJIRIKE

MANCHESTER UNITED NA ARSENAL WAPEWA WABABE HATUA YA MTOANO EUROPA LEAGUE

Shirikisho la soka ulaya (UEFA) limetoa ratiba kamili ya hatua ya mtoano kwa vilabu 32 kuweza kupata 16 bora za michuao ya UEFA Europa League. Manchester United na Arsenal 



Zimepewa timu ngumu.Timu zote mbili zimetolewa hatua ya makundi ligi ya mabingwa ulaya na sasa zimehamishiwa ligi ya Europa ,

 Manchester United imepewa Club Brugge inayoshiriki ligi kuu nchini Ubelgiji.Club Brugge imecheza mechi 18 na kushinda mechi 14 sare 3 na imefungwa mechi moja tu huku ikikuusanya pointi 45 na inaongoza ligi kuu Ubelgiji.

 Arsenal imepewa Olympiacos inayoshiriki ligi kuu Ugiriki .Olympiacos imecheza michezo 14 kwenye ligi ya ugiriki na kushinda mechi 10 ikitoa sare 4 na inaongoza ligi kwa pointi 34 . Hizi hapa ni mechi ni mechi 16 za kutazamwa 


Post a Comment

0 Comments