BETI NASI UTAJIRIKE

KWA MWENDO HUU RONALDO ATAPATA TUZO YA 6 BALLON D'OR 2020?

Mshambuliaji wa Juvetus Cristiano Ronaldo amejikuta akikalia kuti kavu baada ya klabu yae ya Juventus ikishinda mabao 3-1 dhidi ya miamba hiyo ya Turin. Kwenye mchezo huo wa 


ligi kuu nchini Italy Serie A Ronaldo alikuwa ni wakwanza kuipa bao la kuongoza dakika ya 25. Mshambuliaji huyo alijikuta akikalia kuti kavu baada ya mchezo huo kumalizika kwa kipigo huku Inter Milan ikiendelea kukaa kileleni mwa ligi hiyo kwa tofauti ya pointi 2 zikiwa zimecheza mechi 15 kila mmoja 

Ronaldo amekuwa na msimu mbovu zaidi kwa kipindi cha miaka 12 baada ya kufunga mabao 7 tu kwenye mechi 15 huku anayeongoza kwenye ufungaji akiwa na mabao 17 kwenye mechi 15.

Kwa upande wa Ligi ya Mabingwa Ulaya Cristiano Ronaldo ana bao 1 huku anayengoza akiwa amefunga mabao 10 ambaye ni mshambuliaji wa Bayern Munich Robert Lewandowski.

Msimu huu wa 2019/20 Ronaldo amecheza mechi 19 akifunga mabao 6 pekee na kwa msimu huu hajafunga mechi yoyote goli mbili


Post a Comment

0 Comments