muda mrefu mpaka kufikwa na umauti. Mzee Akilimali aliwahi kuwa katibu wa baraza la wazee Yanga n atakumbukwa kwa misimamo yake. Akilimali amefariki nyumbani kwake Bagamoyo na atasafirishwa kurudishwa makazi yake ya Tandale Dar es salaam.Mazishi yatafanyika kesho saa 10:00 jioni . Amospoti.com inatoa pole kwa Wanayanga na familia nzima ya Mzee Akilimali.
0 Comments