BETI NASI UTAJIRIKE

KIONGOZI YANGA ATOLEA UFAFANUZI WA WACHEZAJI WA KIGENI KUONDOKA

Klabu ya Yanga imejikuta kwenye hali mbaya baada ya baadhi ya wachezaji wake wa kigeni kuandika barua za kuvunja mikataba ya kuitumikia klabu hiyo kwa  madai ya Mishahara 


Afisa habari wa klabu hiyo Bw.Bumbuli amejikuta kwenye wakati mgumu kuzungumzia suala hilo . Msikie alivyokuwa akitolea ufafanuzi

Post a Comment

0 Comments