BETI NASI UTAJIRIKE

HIVI NDIVYO ALIVYOWASILI KOCHA MPYA WA SIMBA SVEN VAN DER BROECK

Klabu ya Simba imemtambulisha kocha wake mpya mbelgiji Sven VanderBroeck anaye chukua nafasi ya Patrick Aussems aliyetimuliwa klabuni hapo siku chache zilizopita. Klabu hiyo ilimpokea kocha huyo kimya kimya na hakuna mtu yeyote aliyeshtukia mchongo mpaka alipotangazwa majira ya saa 7:30 jioni.  Klabu ya simba haikutaka kuwanyima mashabiki zake radha halisi ya mgeni huyo hhivyo ilitengeneza video kuonyesha mwanzo mwisho kuwasili kwa Sven VanderBroeck. Hii hapa video kamili.


Post a Comment

0 Comments