BETI NASI UTAJIRIKE

HAYA HAPA MATOKEO YOTE YA UEFA EUROPA LEAGUE HAPO JANA

Michuano ya Uefa Europa League ilifikia hatma kwa hatua ya makundi huku timu 32 zikiwa zimefuzu kuelekea hatu ya mtoano kupata 16 bora. labu za Arsenal na Manchester United zimefanikiwa kufuzu haua hiyo kwa kuongoza makundi yao.Shirikisho la Soka Ulaya (UEFA) litatangaza rasmi ratiba ya michuano hiyo hivi karibun . Haya ni matokeo ya mechi za mwisho hatua za makundi.


Post a Comment

0 Comments