Ligi kuu Uingereza imeendelea hapo jana kwa timu mbalimbali kucheza . Moja ya mechi zilizokuwa ziikisubiriwa kwa hamu ni ule wa manchester Derby ukizikutanisha
Manchester City na Manchester United. Matokeo ya mechi hiyo yamezua taharuki kwa mashabiki wa soka baada ya timu iliyopewa nafasi ya kushinda mchezo huo (Manchester City ) kupoteza mchezo huo kwa kufungwa bao 2-1 na wapinzani wake Manchester United.
Matokeo yote
0 Comments