BETI NASI UTAJIRIKE

HAYA HAPA MATOKEO YA LIGI KUU UINGEREZA MECHI ZA JANA USIKU

Ligi kuu nchini Uingereza imeendelea hapo jana usiku kwa michezo mbalimbali huku michezo mbalimbali ikipigwa usiku huo wa raundi ya 15. Liverpool wameendelea kuweka rekodi ya kutopoteza mchezo wowote msimu huu. Moja ya mchezo uliokuwa unasubiriwa kwa hamu ni kati ya Manchester United dhidi ya Tottenham a ule wa Liverpool vs Everton. Haya hapa ni matokeo yote ya mechi zilizopigwa usiku wa jana ligi kuu Uingereza.


Post a Comment

0 Comments