BETI NASI UTAJIRIKE

HAYA HAPA MAKUNDI YA EURO 2020 ,RONALDO ATUPWA KUNDI LA KIFO

Shirikisho la soka balani Ulaya (UEFA) limetangaza makundi ya timu zitakazoshiriki michuano ya EURO 2020 huku mabingwa watetezi Portugal


kuwekwa kundi gumu zaidi .kundi F linazikutanisha Ufaransa ,ureno na Ujerumani. Haya hapa ni makundi ya timu shiriki itakayopigwa mwezi Juni na julai 2020


Post a Comment

0 Comments