BETI NASI UTAJIRIKE

HAWA HAPA KILIMANJARO STARS WAKIONDOKA DAR ES SALAAM

Kikosi cha wachezaji 22 kimeondoka jioni ya Leo kuelekea nchini Uganda kwenye michuano ya CECAFA 2019 itakayoanza kutumia vumbi tarehe 8 DisembaKikosi hicho kimeondoka jioni ya leo kwa ajili ya maandalizi ya mwisho nchini Uganda na kitaanza mchezo wake wa kwanza dhidi dhidi ya Kenya tarehe 8.hiki hapa kikosi kamili

Post a Comment

0 Comments