BETI NASI UTAJIRIKE

FRANCIS KAHATA AMPAGAWISHA KOCHA MPYA WA SIMBA

Winga wa klabu ya Simba raia wa Kenya Francis Kahata ndiye mchezaji wa kwanza kumpagawisha kocha mpya wa Simba Sven Vanderbroeck Mchezaji huyo alionyesha 


uwezo mkubwa kwenye mazoezi na kumpelekea kocha huyo mpya kuzungumza naye kwa maneno machache tofauti na wachezaji wengine. 

 Kahata aliyesajiliwa msimu huu kutoka Gor Mahia amekuwa akionyesha uwezo mkubwa kwenye kila mechi alizoitumikia klabu ya Simba na kocha aliyeondoka Patrick Aussems alikuwa akimtumia mara kwa mara kama winga wa kulia. Hivi ndiyo 

Post a Comment

0 Comments