BETI NASI UTAJIRIKE

ALICHOSEMA HAJI MANARA KUELEKEA UZINDUZI WA VIWANJA BUNJU

Hatimaye yametimia. Klabu ya Simba imejiandaa kuzindua viwanja vyake vya mazoezi vya nyasi asili na bandia huko Bunju. Klabu hiyo imejipanga kuwaonyesha mashabiki wake 


namna klabu hiyo ilivyojipanga kuleta mabadiliko ya kisoka nchini. Kwa sasa viwanja hivyo vimekamilika kwa awamu ya kwanza huu awamu ya pili ikitarajiwa kuanza siku chache zijazo na itahusisha ujenzi wa majengo mbalimbali zikiwamo hosteli,madarasa na hata mahala maalumu kwa kupaki magali. Msemaji wa klabu hiyo Manara Haji amenukuliwa akisema Post a Comment

0 Comments