BETI NASI UTAJIRIKE

YANGA YATOA MISAADA KWA SHULE

Wanachama wa Yanga Tawi la Mafinga, maarufu kama Vanyalutogo, wametoa msaada wa Tanki la Maji n

Mashine ya kuvuta maji kwa Shule ya Sekondari ya Iyongole.

“Vifaa hivi vyote vimetolewa na Wanayanga wenyewe, hii ni Timu ya Wananchi na tunawafikia Wananchi kwa namna mbalimbali,” Gift Mwachang’a, Mwenyekiti wa Tawi.
Kufuatia msaada huo wenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni moja, Mbunge wa Mafinga Mhina Mh. Cosato Chumi  amewapongeza Wanayanga kwa juhudi za kutatua changamoto katika jamii.

“Hongereni sana Yanga Mafinga, huu ni uanamichezo uliotukuka, kwanza mlianza na Tanki la maji, lakini tena mkajiongeza mmekabidhi na pump.  Huu ni uzalendo wa kimichezo.”
Cosato Chumi (Mb), Mafinga Mjini.

Post a Comment

0 Comments