Kocha huyo alitimuliwa klabuni hapo wiki iliyopita baada ya kuboronga michezo na pyramids kwenye kombe la shirikisho.
Tangu kuondoka klabuni hapo amekuwa akilalamika kupitia Yanga vyombo vya habari kutomlipa stahiki zake za kuvunja mkataba,barua na hata fedha alizowakopesha sehem mbalimbali baada ya Klabu hiyo kushindwa kulipa baadhi ya bili kama malazi,usafiri na hata chakula.
Klabu hiyo imetangaza kumlipa kocha huyo madeni yote anayowadai na Sasa yupo huru na Klabu hiyo inayofundishwa na kocha Charles Boniface mkwasa
0 Comments