advertise with us

ADVERTISE HERE

YANGA WALAMBA MZIGO WA GSM

Klabu ya Yanga haijataka kupoteza fursa ya kupata milioni 10 mara baada ya kushinda mchezo wake dhidi ya Ndanda . Shukrani za kipekee zimwendee Patrick Sibomana  ]


aliyefunga bao pekee kwenye mchezo huo uliopigwa dimba la Nangwanda Sijaona mjini Mtwara.

Mkurugenzi wa makampuni ya GSM  Bw.Ghalib aliahidi kutoa shilingi milioni 10 endapo Yanga itashinda mchezo wowote wa ligi. Zoezi hilo limekuwa endelevu na kila mechi itakayochezwa na Yanga na kushinda basi wanajihakikishia milioni 10.Post a Comment

0 Comments