BETI NASI UTAJIRIKE

YANGA NI HAKUNA KULALA

Klabu ya Yanga ilirejea Jana usiku jijini dar es salaam ikitokea mwanza kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania bara ikiifunga Alliance mabao 2-1

Leo asubuhi Klabu hiyo imeendelea na mazoezi makali kujiandaa na mchezo na mchezo mwingine wa ligi kuu dhidi ya KMC utakaopigwa tarehe 02 disemba .

Yanga na KMC zitaumana dimba la Uhuru. kocha mkuu wa Yanga bw.boniface mkwasa ameonekana kuwa moto zaidi baada ya kushinda mechi mbili za ligi. Yanga ilimkalimisha mkwasa baada ya kumtimua Mwinyi Zahera .

Post a Comment

0 Comments