BETI NASI UTAJIRIKE

WAJUKUU WA NYERERE (TANZANIA) KUWAFUNGA WAJUKUU WA GADAFFI (LIBYA)

Timu ya Tazania Taifa Stars leo jioni iinacheza mchezo wake wa pili kundi J kufuzu AFCON 2021. Timu hiyo imekaribishwa na Libya kwenye mchezo huo utakaopigwa jijii Tunis-Tunisia

majira ya saa 4:00 usiku huku pia michezo mingine ikifnyika siku ya leo kwa nyakati tofauti. Nimekuwekea ratiba kamili ya michezo inayochezwa leo.

Taifa Stars inapaswa kushinda mchezo wa leo ili kujiwekea azingira mazuri ya kufuzu michuano  hiyo na mpaka sasa ina poini 3 sawa na viongozi wa kundi Tunisia mwenye magoli mengi zaidi ya Stars.

CECAFA Women Challenge Cup

14:00 Kenya vs Djibouti
16:30 Uganda vs Ethiopia

Africa Cup of Nations - Qualification

16:00 Burundi vs Morocco
19:00 Mauritania vs Central African Republic
19:00 Zambia vs Zimbabwe
22:00 Libya vs Tanzania
22:00 Equatorial Guinea vs Tunisia
16:00 Ethiopia vs Ivory Coast
19:00 Niger vs Madagascar

International - EURO Qualification

22:45 Germany vs North Ireland
22:45 Netherlands vs Estonia
22:45 Slovakia vs Azerbaijan
22:45 Wales vs Hungary
22:45 North Macedonia vs Israel
22:45 Latvia vs Austria
22:45 Poland vs Slovenia
22:45 Belgium vs Cyprus
22:45 San Marino vs Russia
22:45 Scotland vs Kazakhstan

AFC World Cup - Qualification 2ndRound

14:00 Maldives vs Guam
17:00 Syria vs Philippines
12:00 Nepal vs Kuwait
19:00 Jordan vs Chinese Taipei
15:00 Hong Kong vs Cambodia
17:00 Iraq vs Bahrain
15:00 Uzbekistan vs Palestine
18:00 Yemen vs Singapore
17:00 Afghanistan vs Qatar
18:00 Oman vs India
13:30 Myanmar vs Mongolia
17:00 Kyrgyzstan vs Tajikistan
15:45 Malaysia vs Indonesia
16:00 Vietnam vs Thailand
14:00 Turkmenistan vs Sri Lanka
20:00 Lebanon vs North Korea

Post a Comment

0 Comments