Kapteni huyo wa Simba amerejea rasmi kikosini baada ya kuwa majeruhi. Tshabalala atakuwepo jumapilli hii kwenye mechi ya Simba Vs Mbeya City tarehe 3 uwanja wa uhuru na ile ya Simba vs Prison tarehe 7
Baada ya michezo hiyo Tshabalala atangana na wachezaji wenzake walioitwa timu ya taifa kuanzia tarehe 8 Novemba mpaka 20 Novemba
Wachezaji mbalimbali wa Simba walishirikiana kumpaka matope mchezaji huyo na walisherehekea kwa pamoja akiwemo Shiboub,Athmani ,Nyoni Ajib na wengine wengi.
0 Comments