advertise with us

ADVERTISE HERE

VAN DIJK AWAPOTEZA TENA LIONEL NA RONALDO

Unaweza kusema nyakati za Ronaldo na Lionel Messi zimekwisha baada ya nyota hao kuendelea kubuluzwa na beki wa Liverpool na timu ya taifa Uholanzi Van Dijk.Hapo jana bek mchezaji huyo bora wa UEFA amefanikiwa kwa mara nyingine kuwapoteza Ronaldo na Messi kwenye tuzo za GOAL 50. Kwa upande wa wanaume Van  Dijk ameshika nafasi ya kwanza akifuatiwa na Messi huku Ronaldo akishika nafasi ya 4 nyuma ya Salah.

Mbali na Dijk aliyeingia kwenye tuzo hizo kwa mara ya kwanza na kuitwaa wachezaji wengine watatu wamepoteza nafasi zao kwenye kundi hilo akiwemo Neymar Jr, Pogba na Luka Modric.


Mshambuliaji hatari wa Bayern Munich na Polland amekuwa gumzo baada ya kucheza michzo 47 ya Bundesliga na kufunga mabao 40 kwa msimu wa 2018/19 na 2019/20 na mpaka sasa ni mchezaji mwenye magoli mengi zaidi akichuana na Mbappe na Lionel Messi.

Post a Comment

0 Comments