UWANJA WA SIMBA BUNJU WAIPASUA KICHWA AZAM FC

Baada ya Klabu ya Simba kukamilisha kiwanja chake cha mazoezi Bunju klabu ya Azam nayo haijakaa kimya. Kupitia ofisa habari wa klabu hiyo Bw. Jaffer Idd Maganga 


amesema kuwa kiwanja chao wanatarajia kukifungia hivi karibuni ili kufanya ukarabati .Uongozi wa klabu ya Azam FC upo kwenye mchakato wa kukarabati kiwanja chake cha nyasi bandia ili kukiweka vizuri zaidi.

amesema kuwa kiwanja hicho wanatajia kukifungia hivi karibuni kufanya ukarabati huo.
Maganga ameeleza wameamua kufanya maamuzi hayo ili kukiweka kwenye hadhi ya kisasa zaidi na inaonekana mechi zake za nyumbani zitakuwa zinachezewa kunako Uwanja wa Uhuru ama Taifa Dar es Salaam.

"Tutaufunga uwanja wetu wetu wa Chamazi ili kufanya ukarabati.Ukarabati huo utahusisha uwanja wa nyasi bandia ili kuuweka katika mandhari nzuri zaidi."

Post a Comment

0 Comments