BETI NASI UTAJIRIKE

SAMATTA AWATUMIA UJUMBE MZITO WACHEZAJI WA TANZANIA

Nahodha wa Taifa Stars na KR Genk amewatumia ujumbe wachezaji wanacheza soka Tanzania hasa wazawa akiwataka kutafuta fulsa kwa timu za nje ya nchi hasa  


 TP Mazembe timu ambayo aliitumikia na kumsaidia kupata nafasi ya uwa mfungaji bora kwa Afrika na kuhamia klabu ya Genk nchini Ubelgiji alikofanya vizuri na kuwa ni mmoja ya wachezaji 30 wanaowania tuzo za mchezaji bora Africa. kupitia ukurasa wake wa twitter Samata aliandika 
Kuna uwezeano Samatta akawa ameandika kauli hii baada ya kuona wachezaji wetu wa Tanzania wanang'ang'ania kucheza ligi za ndani pekee badala ya kuanza kutoka na kushiriki ligi za nchi nyigine ikiwamo Kongo hasa TP Mazmbe.

Msimu uliopitwa aliyekuwa mchezaji wa Yanga Ibrahim Ajib alipata nafasi ya kujiunga na TP Mazembe kupitia aliyekuwa kocha wa timu hiyo Mwinyi Zahera lakini alikataa kwenda Kongo na kuamua kujiunga na Simba .


Post a Comment

0 Comments