advertise with us

ADVERTISE HERE

MARAISI WA FIFA, REAL MADRID NA TP MAZEMBE KULA SAHANI MOJA FIFA

Hii ni habari njema kwa soka la barani Africa baada ya mmiliki na raisi wa klabu ya TP Mazembe Mosei Katumbi kukwaa nafasi za juu zaidi duniani kwenye soka 

Frorentino Perez amekuwa mwenyekiti huku Mosei katumbi akiwa makamu mwenyekiti wa chama cha vilabu cha mpira wa miguu duniani (WORLD FOOTBALL CLUB ASSOCIATION)

Chini ya Mosei Katumbi na Perez kwa kushirikiana na FIFA wanategemea kuanzisha kombe la dunia la vilabu litakalofanyika kwa mara ya kwanza nchini China  mwaka 2021 na litashirikisha mabara yote 6.
Matokeo chanya ya chama hicho ni kuhakikisha wanafanikiwa kuandaa michuano hiyo ya vilabu nchini China na vilabu mbalimbali vinaendele na mazungumzo mjini Zurich yalipo makao makuu ya FIFA.


Post a Comment

0 Comments