advertise with us

ADVERTISE HERE

PICHA : CHEKI TAIFA STARS ILIVYOTUA TUNISIA KIBABE

Timu ya Taifa "Taifa Stars "hao juzi iliondoka jijini Dar es salaam kuelekea nchini Tunisia kwa ajili ya mchezo kundi J wa kufuzu AFCON 2021 dhidi ya Libya tarehe 19 Novemba Hizi hapa ni baadhi ya picha za wachezaji hao walipoondoka jijini Dar es salaam na mpaka wnafika nchini Tunisia kwa ajili ya mchezo huo. Timu hiyo ilisafiri na shirika la ndege la Turkish Airline na walipitia Istanbul kubadili ndege iliyowapeleka moja kwa moja Tunisia 
Hizi hapa picha zenyewe 


Post a Comment

0 Comments