Mpinzani wa Mwakinyo Bondia kutoka nchini ufilipino Arnel Tinampay amewasili nchini Tanzania akiwa na Daktari wake pamoja na mpishi wake
tayari kwa ajili ya pambano litakolopigwa Novemba 29 mwaka huu katika uwanja wa uhuru jijini Dar es salaam
0 Comments