Kocha mpya wa Tottenham Hotspurs Jose Mourinho ametambulishwa rasmi kuwa kocha Mkuu wa klabu hiyo ya London.
Jose Mourinho atadumu klabuni hapo mpaka msimu wa 2022-23. Kocha huyo amechukua nafasi ya Mauricio Pochettino aliyetimuliwa klabuni hapo kwa matokeo mabovu msimu huu
0 Comments