Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi Simba ameonekana kuchoshwa na nidhamu mbovu ya baadhi ya wachezaji na sasa amepata njia mbadala ya kurejesha nidhamu klabuni hapo
Mohammed Dewji kupitia kurasa zake zake za kijamii aliandika
"Labda timu zetu tujifunze kupitia fines za Chelsea Football Club! Unaonaje?" Kisha akaambatanisha tangazo la Chelsea lililotolewa hivi karibuni likionyesha gharama za malipo endao mchezaji yeyote atazivunja sheria hizo.
Moja ya wachezaji wanaoaminika kuingia kwenye mtego huo kiurahisi ni Jonas Mkude mwenye sifa ya uchelewaji mazoezini na hvi karibuni ametoka kupewa onyo kali kutoka kwa mtedji kuu wa klabu hiyo bw. Mazinga.
0 Comments