Kaimu kocha Mkuu wa Yanga Charles Mkwasa amemrejesha winga Said Mussa kwenye kikosi cha kwanza
Msimu wa 2017/18 Mussa alikuwa kikosi cha kwanza kabla ya Mwinyi Zahera kumrejesha timu ya vijana (Yanga B) msimu uliopita
Katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Coastal Union juzi, Mussa alianzishwa kikosi cha kwanza kabla ya nafasi yake kuchukuliwa na Mrisho Ngasa wenye kipindi cha pili
Kinda huyo huenda akajumuishwa kwenye kikosi cha kwanza dirisha dogo
0 Comments