advertise with us

ADVERTISE HERE

MKWASA AENDELEA KULIAMSHA DUDE YANGA

Klabu ya Yanga imeendelea na mazoezi makali kuelekea mechi ya kirafiki Kati yake na Coastal union .nimekuwekea picha mbalimbali za wachezaji wakiwa mazoezinMchezo huo utapigwa uwanja wa Uhuru kama kipimo kwa kocha mkwasa anapoelekea kufanya usajili wa wachezaji mbali mbali.

Mkwasa amenukuliwa akisema  "Coastal Union Fc ni moja kati ya timu bora kwenye ligi yetu,naamini itakuwa kipimo sahihi kwa vijana wangu kuelekea mchezo ujao wa ligi dhidi ya JKT Tanzania tar 23."

Kikosi hiki kinajumuisha wachezaji ambao hawajaitwa timu zao za taifa.

Post a Comment

0 Comments