BETI NASI UTAJIRIKE

MHAMASISHAJI YANGA ATEMA CHECHE KUELEKEA MECHI NA ALLIANCE FC

Klabu ya Yanga imeitangazia Vita Klabu ya Alliance Fc kuelekea mchezo utakaopigwa jioni ya kesho dimba la nyamagana Mwanza.mhamasishaji wa Yanga Antonio Nugaz amenukuliwa 

akisema "Mdhamini wetu ambaye ni Msambazaji wa jezi zetu kupitia Brand Chapa GSM kuelekea mchezo wetu  dhidi ya Alliance fc ameweka mezani tena ahadi ya pesa taslimu shilingi milioni kumi {10,000,000} kwa ajili ya hamasa ya kupata point tatu muhimu."

Post a Comment

0 Comments