advertise with us

ADVERTISE HERE

MAZOEZI YA MKUDE YAWA GUMZO KILA KONA

Kiungo mahiri zaidi Taifa Stars na Simba SC ameendelea kuteka hisia za mashabiki baada ya kuanza kufanya mazoezi na timu hiyo hapo jana. Mkude alikuwa nje ya uwanja kwa sababu mbili kubwa moja ikiwa ni utovu wa nidhamu na nyingine nikuwa majeruhi . Kocha wa timu hiyo alithibitisha kiungo huyo kurejea mazoezini na kuna uwezekano akamtumia kwenye mchezo wa ligi Kuu Vodacom siku ya Ijumaa atakapovaana na Prison Tanzania uwanja wa uhuru.

Hizi hapa picha mchanganyiko za mchezaji huyo akiwa mazoeziniMashabiki wa Simba walionekana kuweka picha za kiungo kwenye mitandao mbalimbali wakifurahishwa na kurejea kwae.

Post a Comment

0 Comments