Inasemekana klabu hiyo imeshaanza harakati za kuwasajili washambualiaji akiwemo Etekiama Agiti taddy Birori anayecheza nafasi ya ushambuliaji kutoka DR.Congo na ni moja ya mshambuliaji aliyetoka kwenye orodha ya washambuliaji bora wa michuano ya CAF msimu wa 2017-2018.
Tetesi zinasema tayari Yanga na Mchezaji huyo wameshamalizana na kilichobaki ni kusaini tu mkataba na mabingwa hao wa kihistoria na kutambulishwa kwa wananchi.
0 Comments